Pages

Tuesday, December 10, 2013

MSIBA WA NELSON MANDELA WAWAKUTANISHA OBAMA NA HUYU RAIS NA KUPEANA MIKONO...MAAJABU

Madiba 12Rais Barack Obama wa Marekani akiwa anazungumza kwenye #Mandelamemorial Johannesburg Afrika Kusini ambapo kabla ya kumiliki kipaza sauti alipita kuwasalimia viongozi mbalimbali waliokua karibu na alipokaa kabla ya kusogelea kipaza sauti.
Miongoni mwa aliowasalimia kwa kupeana mikono ni pamoja na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais Castro ambapo hii ya kusalimiana na Rais Castro ndio imechukua headlines kwa sasa kutokana na historia iliyopo kati ya nchi hizi mbili.
madiba 11Madiba 13

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About