Pages

Thursday, November 28, 2013

SHILOLE KIUNO AMDIS SUMA MNAZARETI JUKWAANI LIVE

Nakomaa na jiji ndiyo nyimbo yake inayofanya vizuri katika radio station pamoja television hapa nchini.Muite Shilole Kiuno ambae pia ni staa wa tasnia ya bongo movie.

Shilole ambae aliulizwa na Team tizniz juu ya Suma Mnazaret kuimba katika nyimbo yake ya Umechelewa aliyoshirikiana ana Richard na katika wimbo huo suma alisema"Eti umeenda marekani soon utafanya nyimbo mpya na Jlo kwa muziki gani wewe umechelewa"Team tizniz ikamuuliza Shilole  anazungumziaje hili?

Shilole alisema"Kijana mdogo huyu anatafuta umaarufu kupitia watu maarufu kama sisi.Hivyo sina time ya kumjibu chochote aendelee kujipanga kivingine.

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About