Pages

Friday, November 8, 2013

KAMA ULIKUA HAUJUI HIKI NDICHO KILICHOMUONDOA ADAM JUMA KWENYE UTENGENEZAJI WA VIDEOS


Unaweza kujiuliza kwa nini huoni video kali za Adam Juma katika soko mtu tuliemzoea katika Industry baada ya kuletea mapinduzi makubwa sana katika sanaa mpaka kufikia level ya Tzee kuweza kushindana na mataifa mengine ya Afrika.
Kazi ya kwanza iliyomuweka adam juma kwenye soko la video ni ice ceream ya Noorah na suma lee.adam amepata mafanikio mengi sana katika muziki wa bongo na ametoa shhoting kali sana kama baadae ya ommy dimpoz na nyingine kibao.
ADAM3
Ni kwamba Adam Juma despite na kazi yote aliyoifanya katika musiq but still haikuweza kumlipa kiivyo na akaamua kufanya maamuzi magumu ya kukaa pembezi kwa mda akijipanga tena .adam juma kwasasa amejikita sana katika kufanya video za documentary na matangazo na NGOs.
Ukiachana na kuwa director wa video za  muziki pia Adam Juma ni msanii.alishawahi kushirikishwa katika Kenyan drama series, Changes, kama Minja Kabwe boyfriend to ditzy.
hii inaonyesha Pablo na Nisheer tuna wawekea hope zetu katika kuendeleza harakati za mapinduzi katika soko la video……

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About