Pages

Friday, November 1, 2013

Huyu ndio mtoto mwenye hisia anaelia kila akiimbiwa huu wimbo, video yake imetazamwa zaidi ya mara milioni 15

mtotoKutokana na udogo wa huyu mtoto na jinsi hisia zinavyomteka mpaka kuanza kutoa machozi kutokana na mama yake kuimba nyimbo ndio kilichofanya kila mmoja akimbilie kuitazama video hii na kufikia kutazamwa zaidi ya mara milioni 15 na laki 8 toka imewekwa October 18 2013

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About