Pages

Wednesday, November 6, 2013

HUDDAH NA PREZZO NDANI YA VITA KUBWA TENA BAADA YA PREZZO KUPOST PICHA AKIWA NA MPENZI MPYA

Baada ya Prezzo kupost picha akiwa na mpenzi wake mpya na kuandika Maneno haya kwenye Twitter "Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future " Huddah monroe Ameibuka na kumponda Prezzo akisema si chochote na hana hela kwani bado anaishi kwa mama yake na kutegemea hela za mama ake...na akiendelea atamwaibisha......

Hivi Ndivyo Huddah Alivyo andika.By prezzo254
Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future@chaggabarbie #MySize

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About