Pages

Monday, October 14, 2013

TANZANIA YAANZA VIBAYA MASHINDANO YA TUSKER PROJECT FAME

Tanzania leo imeanza vibaya kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, baada ya washiriki wawili wanaoiwakilisha kutoka.

Washiriki hao ni Durbat na Tanah ambao wameungana na mshiriki wa Rwanda, Peace kuyaaga mashindano hayo. Kutokana na kuondolewa kwa washiriki hao, Tanzania imebakiza washiriki wawili tu kwenye shindano hilo.

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About