Pages

Friday, October 18, 2013

PATI YA NANDO ALIYOIFANYA KWA SIKU KUMI NA WASHIRIKI WA BBA HIVI NDIVYO ILIVYOKWISHA

ILE pati ya aina yake aliyoifanya mshiriki wa shindano la BBA’The Chase’2013 kutoka Bongo Ammy Nando na kuwaalika washiriki wengine kutoka nchi mbalimbali imemalizika hivi karibuni huku mashabiki wakiipokea vizuri na kumpongeza kwa kufanya pati hiyo.
Washiriki wa shindano hilo waliompa campani Nando ni pamoja na Bimp kutoka nchini Ethiopia, Beverly wa Nigeria na Fatima wa Malawi.Washiriki wengine walioahidi kufika katika pati hiyo hawakuweza kufika kutokana na sababu zao ni pamoja na Angelo, Pokello na Motamma.

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About