Pages

Monday, October 14, 2013

MWANAUME AJINYONGA MKOANI MOROGORO,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZITAKAZOONEKANA

Mtu  Ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining'inia juu ya mti mara Amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza  kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu .

 Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.

You might also like:

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About