Pages

Sunday, October 13, 2013

HIZI NDIO PICHA SILAHA NA CD ZILIZOKAMATWA KUTOKA MIKONONI MWA VIJANA WALIOKUWA WAKIJIFUNZA UGAIDI MTWARA

Siku ya jana vijana 11 walikamatwa kwenye msitu mmoja uliopo Mtwara huku wakiwa wanajifunza mafunzo ya kigaidi. Vijana hao walikamatwa na cd za mafunzo ya Al Shabaab, Al Qaeda, kuunda jeshi, zindukeni Zanzibar, mauaji ya Idd Amini na Mogadishu Sniper.
Majina ya watu waliokamatwa ni kama ifuatavyo
Watuhumiwa wote hao tayari wameshafikishwa mahakamani na polisi bado wanaendelea na uchunguzi kujua kama kuna makundi mengine na ninani ambaye anafadhili matukio mabovu kama haya.

CHANZO:TEEN TZ

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About