Pages

Friday, October 18, 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA SHAA-SUGUA GAGALeo Mitaa ya Manzese ilikuwa ni siku ya Uchukuaji wa Picha za Video ya Audio Mpya ya Shaa Sugua gaga. Ambayo inatarajiwa kutoka wiki kadhaa zijazo uku teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na How video hiyo itakuwa? Pengine hii ni Track na Video ya Kwanza shaa akifanya ikiwa kwenye maadhi ya radha ya Uswahilini kabisa. akiwa chini ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe ( Saidi Fella ) Check out Photos za Video ya Sugua Gaga iliyokuwa inafanyika leo.
6B3A6183 6B3A6162 6B3A6158 6B3A6152 6B3A6148
6B3A6143 6B3A6297 6B3A6290 6B3A6273 6B3A6259
6B3A6257 6B3A6252 6B3A6251 6B3A6247 6B3A6216
6B3A6202 6B3A6193
6B3A5854 6B3A5860 6B3A5826

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About