Pages

Sunday, October 13, 2013

HIVI NDIVYO DIAMOND AMEMDISS PRODUCER ALIYEVUJISHA NYIMBO YAKE.


ALICHOKISEMA DIAMOND KWENYE INSTAGRAM YAKE KUUSU KUVUJISHWA KWA NYIMBO YAKE.
"Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi....ila Kuvujisha Unajisumbua bure! #UlievujishaNikifaKesho!"

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About