Pages

Wednesday, October 16, 2013

HIVI NDIVYO ALIVYOPOKELEWA OMMY DIMPOZ KUTOKA AIRPORT MPAKA HOME KWAKE

Ommy ndegeniStaa wa bongofleva ambae anatajwa kushika nafasi ya pili kwa kulipwa pesa nyingi kwenye show (milioni 8 kwa Tz) huku ya kwanza ikishikwa na Diamond Platnums (milioni 10 kwa TZ), Ommy Dimpoz amerejea Tanzania leo October 15 2013 baada ya kukaa Marekani kwa karibu wiki nne.
Ni show tatu tu ndio zilimpeleka Ommy Dimpoz na kumuingiza Marekani kwa mara ya kwanza… kutana na picha zake za mapokezi baada ya kutua Dar es salaam alafu stori utaiona baadae on millardayo.com na kwenye AyoTV.
10Airport Dar es salaaam
7
30Baada ya kuwasili nyumbani kwake Dar es salaam, hapa ni nje ya nyumba yake yenye hilo geiti jeusi hapo
29Mtaani kwenyewe..
28Meneja Mubenga akisaidia kubeba mizigo
27
26

0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About