Pages

Sunday, October 13, 2013

BAADA YA YA PICHA ZA WEMA NA DIAMOND,PENNY NAE ALIPA KISASI KWA MTINDA HUU

Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny 

Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu 

Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You0 maoni:

Post a Comment

Matangazo

Matangazo

Popular Posts

 

Blogger news

Blogroll

About